Mbeya Zonal Referral Hospital Saccoss
+255 757 290 618   Login

Mikopo nafuu

Tunatoa mikopo yenye riba nafuu kwa wanachama.

Mikopo nafuu

Huduma za kifedha

NMB, CRDB, NBC, Mpesa, Tigopesa, Airtel money, T Pesa na Halopesa.

Huduma za kifedha

Elimu ya uchumi

Tunatoa elimu ya matumizi ya fedha na uwekezaji kwa wanachama.

Elimu ya uchumi

Karibu tukuhudumie

Fika ofisi zetu zilizopo katika Hospitali ya rufaa ya Kanda Mbeya (MZRH) tukuhumie.

Karibu tukuhudumie

Mikopo itolewayo

Tunatoa mikopo ya aina mbalimbali kwa mahitaji tofauti. Kiasi na riba inategemea aina ya mkopo na muda wa kurejesha mkopo.

Mkopo wa maendeleo

Mkopo wa maendeleo

Hadi TSh 40,000,000

Pata mkopo wa maendeleo hadi TZS 40,000,000 utakaorejeshwa kwa muda wa hadi miezi 36. Riba ya mkopo ni aslimia 1.5.

Mkopo wa dharura

Mkopo wa dharura

Hadi Tsh 400,000

Pata mkopo wa dharura hadi TZS 400,000 utakaorejeshwa kwa muda wa hadi miezi 3. Riba ya mkopo ni aslimia 5.

Mkopo wa sikukuu

Mkopo wa sikukuu

Hadi Tsh 100,000

Pata mkopo wa sikukuu hadi TZS 100,000 utakaorejeshwa kwa muda wa hadi miezi 1. Riba ya mkopo ni aslimia 5.

Historia fupi ya chama

Chama cha Ushirika wa Akiba na Mikopo cha New MZRH kilianzishwa Mwaka 2018 kikiwa na Wanachama 200.
Makao makuu ya Ushirika huu ni Hospitali ya Kanda ya Rufaa Mbeya ambayo inapatikana katika jiji la Mbeya.

Huduma nyingine

Tunatoa mikopo ya aina mbalimbali kwa mahitaji tofauti. Kiasi na riba inategemea aina ya mkopo na muda wa kurejesha mkopo.

NBC

NBC

Wakala

Tunatoa huduma za kifedha kwa Bank ya NBC. Kutoa na kuweka fedha.

NMB

NMB

Wakala

Tunatoa huduma za kifedha kwa Bank ya NMB. Kutoa na kuweka fedha.

CRDB

CRDB

Wakala

Tunatoa huduma za kifedha kwa Bank ya CRDB. Kutoa na kuweka fedha.

TPB

TPB

Wakala

Tunatoa huduma za kifedha kwa Bank ya TPB. Kutoa na kuweka fedha.

Equity

Equity

Wakala

Tunatoa huduma za kifedha kwa Bank ya Equity. Kutoa na kuweka fedha.

Mpesa

Mpesa

Wakala

Tunatoa huduma za kifedha kwa M-PESA. Kutoa na kuweka fedha.

Airtel

Airtel money

Airtel money

Tunatoa huduma za kifedha kwa Airtel money. Kutoa na kuweka fedha.

Tigopesa

Tigopesa

Wakala

Tunatoa huduma za kifedha kwa Tigopesa. Kutoa na kuweka fedha.

Kauli mbiu yetu

Weka akiba, Kopa kwa busara, Lipa kwa wakati.

Wasiliana nasi

Unaweza kuwasiliana nasi kwa kututembelea ofisini, kutupigia simu au kututumiaujumbe kutoka kwenye tovuti yetu ya www.tambesa.co.tz

Tutembelee

Iyunga bus stop, Mbeya

Tupigie

+255757290618

Tuandikie

info@tambesa.co.tz

Mahali tulipo

Tunapatikana kituo cha Daladala cha Iyunga Jijini Mbeya.

Waliotembelea tovuti

Waliopo sasa

Wageni wa leo

Wageni wa wiki

Wageni wa mwezi

Copyright © 1994 - 2022

MZRH Saccoss Limited

Wasiliana Nasi